Uhuru Notam / KikobaPro haitawahi kukuomba taari zako za siri za kuingia kupitia barua pepe, madirisha ibukizi, au mabango. Usitoe taarifa nyeti kama nenosiri lako kwa mtu yeyote (ikiwa ni pamoja na wafanyakazi wenzako) au njia nyingine yoyote ya kielektroniki. Kaa macho na ripoti shughuli yoyote ya kutiliwa shaka mara moja.